M&G CALCULATORS
M&G Scientific Calculators ni Calculators madhubuti zilizotengenezwa kusaidia wanafunzi, walimu na wataalamu kutatua hesabu kwa usahihi na kwa muda mfupi. zikiwa na uwezo mkubwa kuliko calculators za kawaida, M&G imejipatia umaarufu kutokana na ubora, uimara na urahisi wa kuitumia
Kwa Nini Uchague M&G Calculators
- Usahihi wa hali ya juu: Inafanya mahesabu magumu bila makosa. .
- Functions nyingi za Advanced Mathematics: Trigonometry, logarithms, fractions, statistics na zaidi. .
- Muundo Imara na wa kisasa Inadumu kwa muda mrefu hasa kwa matumizi ya kila siku.
- Rahisi kutumia: Mpangilio wa buttons ni rafiki kwa mwanafunzi yeyote, hata kwa mwanafunzi anayeanza kuitumia.
- Gharama nafuu: Unapata ubora wa hali ya juu bila kutumia pesa nyingi ukilinganisha Calculator nyingine za daraja hilo.
GHARAMA
Bei ya M&G CALCULATOR ni TZS 29,000 tu (Bei ya punguzo). Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza M&G CALCULATORS yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Maswali unayoweza kujiuliza
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.











