MYDUKA ONLINE
WhatsApp

HP 2.4G WIRELESS MOUSE

Nunua Wireless Lavalier Microphone
HP 2.4G wireless mouse
Wireless Lavalier Microphone

HP 2.4G wireless mouse

HP 2.4G Wireless Mouse ni kipanya kisicho na waya kinachotumia 2.4 GHz, rahisi kushika, na kina USB receiver kwa plug & play. Kina scroll wheel na battery life nzuri, kikifanya kazi kwa urahisi nyumbani, ofisini, au popote unapoenda..

Faida 5 HP 2.4G wireless mouse

  • Haina waya: unapata uhuru wa kutumia bila vizuizi vya kebo. .
  • Rahisi kubebeka:inafaa kwa laptops na kompyuta popote ulipo. .
  • Plug & Play: inafanya kazi moja kwa moja ukiweka USB receiver..
  • Ergonomic design: inashikika vizuri na inafaa kwa matumizi ya muda mrefu.
  • Battery life nzuri:inadumu kwa muda mrefu bila kuhitaji kuchaji mara kwa mara.

GHARAMA

Bei ya HP 2.4G wireless mouse ni TZS 15,000 tu. Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!

Namna ya kuagiza

Agiza HP 2.4G wireless mouse yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.

Maswali unayoweza kujiuliza

✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.

✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.

EADRYC {Mr.Online}