Huduma ya Kupost Bidhaa
Hii ni huduma rasmi inayotoa nafasi kwa wauzaji kupost bidhaa zao katika blog yetu na kuonekana na wanunuzi mbalimbali wanaotafuta bidhaa mtandaoni.Hii ni huduma iliyolenga kuwaunganisha wauzaji mbalimbali pamoja na wateja tofauti tofauti mtandaoni ikiwa na lengo la kurahisisha uuzaji na manunuzi kati ya mteja na mfanyabiashara lakini pia kutengeneza imani kati yao.
Faida za Kupost Bidhaa E-ONLINE
- Uwezekano wa kuwafikia wateja wengi mtandaoni
- Kujenga brand na kufahamika na wateja mbalimbali
- Kujenga uaminifu na wateja
- Ushawishi kwa wateja kufanya manunuzi na kuongeza mauzo
- Kila bidhaa inapata landing page binafsi kwa mwezi mzima
- Mfanyabiashara anapata link ya page yake moja kwa moja na kuweza kushare link hiyo kwenye majukwaa mbalimbali ya kibiashara
GHARAMA
Huduma ya kupost bidhaa ni TZS 5,000 tu kwa bidhaa moja kwa muda wa mwezi mzima.
Jinsi ya Kujaza Fomu
1️⃣ Jaza taarifa sahihi za bidhaa zako (jina, maelezo, bei) kisha submit.
2️⃣ Bidhaa yako itapitiwa kwanza na kuthibitishwa (verified).
3️⃣ Malipo hufanywa baada ya verification.
4️⃣ Baada ya kulipia, tutakutengenezea landing page binafsi kwa bidhaa yako kwa mwezi mzima.
5️⃣ Utapata link ya page yako moja kwa moja,ili kutapata visibility zaidi kwa wateja.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Wasiliana nasi moja kwa moja kupitia WhatsApp. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.