Karibu kwenye huduma yetu ya Kuweka Oda
Je unatafuta bidhaa yoyote sokoni kwa sasa na bado hujui utaipataje? Karibu E-ODA! Tunakupa nafasi ya kuweka oda mtandaoni kwa urahisi. Orodhesha bidhaa unazohitaji, kwa kujaza fomu yetu ya oda, na tutahakikisha tunakuletea bidhaa kama ulivyoagiza.
Huduma yetu ni ya haraka, salama, na rahisi. Pia, unaweza kulipa baada ya kuthibitisha oda yako kupitia simu au WhatsApp.
Mfano wa bidhaa ambazo unaweza kuagiza
Phone accessories
Vifaa vya simu kama screen protectors, covers, powerbank, charges, phone stand.
Computer accessories
Vifaa vya computer kama External hard disk, Keyboard, Mouse, Flash disk, Laptop stand, Extension cable.
Electronics
Unaweza kuagiza vifaa vya electronics kama vile LED lights, Desk lamps, Electric fans, portable heaters, Electric irons, Security cameras, Motion sensor lights n.k
Vifaa vya nyumbani
Vifaa mbalimbali vya nyumbani kama Blender, Rice cooker, Fan, Heater, Mashuka, Carpets.
Academic and stationary
Vifaa vya kitaaluma kama Calculators, Notebooks, Diaries, Whiteboard, Markers, Staplers.
Fashion and personal style
Bidhaa za fasheni kama Sweatshirts, Tshirts, Jeans, Sandals, Caps, Mikanda, Gloves.
Bonyeza hapa kujaza fomu ya kuweka oda yako:
🛒 Weka Oda yako SasaMaswali unayoweza kujiuliza
Nawezaje kuweka oda?
Unaweka oda kwa kubofya button ya kuweka oda kisha unajaza fomu yetu.
Malipo hufanyikaje?
Unalipa baada ya kuthibitisha oda kupitia simu/WhatsApp.
Bidhaa zinachukua muda gani kufika?
Kwa kawaida siku 1-3 kulingana na bidhaa na eneo ulilopo.
Je, mnatoa punguzo?
Ndiyo, tunatoa punguzo za mara kwa mara kwa oda kubwa au wateja wa kudumu.
Wasiliana Nasi
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.
📲 Wasiliana nasi