MYDUKA ONLINE
WhatsApp

Kuhusu sisi

Kuhusu Sisi - MyDukaOnline

📌 KUHUSU SISI

MyDukaOnline ni jukwaa la biashara mtandaoni linalowezesha ununuzi wa bidhaa kwa urahisi, kwa bei nafuu na kwa kuaminika kutoka kwa wauzaji mbalimbali. Pia ni jukwaa la kujifunza mambo ya maisha, fedha, biashara, teknolojia na afya.

🛍️ HUDUMA TUNAZOTOA

  • Uuzaji wa bidhaa mbalimbali mtandaoni.
  • Nafasi kwa wauzaji kupost bidhaa zao kupitia blog yetu.
  • Ofa na punguzo za mara kwa mara kwa wateja.
  • Huduma ya Graphics Design kwa wafanyabiashara.
  • Utengenezaji wa blog za biashara kwa wauzaji.
  • Tunaandaa Landing Page ya bidhaa ya muuzaji.
  • Usaidizi wa kununua na kuunganisha Domain name.
  • Tunatengeneza pages & post kwa blog ya muuzaji.
  • Nafasi ya kuweka matangazo kwenye blog yetu (Banner Ads).

🎯 MALENGO YETU

  • Kuwezesha kila mtu kununua na kuuza mtandaoni kwa usalama.
  • Kukuza biashara ya kidigitali Tanzania.
  • Kutoa nafasi kwa vijana kuingia kwenye biashara mtandaoni.
  • Kuwa duka la mtandaoni linaloaminika Afrika Mashariki.
  • Kuwaunganisha wafanyabiashara na wateja.
  • Kukuza uhusiano mzuri kati ya muuzaji na mnunuaji.

💬 NENO LA SHUKRANI

Tunathamini kila mteja wetu. Tunaamini kuwa uaminifu na huduma bora ndiyo msingi wa mafanikio ya biashara yetu.

Karibu sana E‑ONLINE BUSINESS kwa huduma bora zaidi kiganjani kwako. Kwa hakika wewe ni mfalme kwetu sherehekea huduma za kifalme Kiganjani mwako!