PRO 3 TWS WIRELESS EARBUDS
Pro 3 TWS Wireless Earbuds ni earbuds za kisasa za TWS (True Wireless) ambazo ni rahisi kutumia. Zinatumia Bluetooth 5.0 kwa muunganisho wa haraka na unaoaminika na simu za Android au iOS. Earbuds hizi ni nyepesi, rahisi kuvaa, na zinafaa kwa kusikiliza vitu mbalimbali, kufanya mazungumzo au kufurahia burudani popote ulipo. Case ya kuchaji inakuwezesha kutumia earbuds kwa muda mrefu bila kuhitaji kuchaji mara kwa mara.
Features 5 za Pro 3 TWS Wireless Earbuds
- Bluetooth 5.0: Muunganisho wa haraka, wa kuaminika, na unaowezesha kufurahia kusikiliza vitu mbalimbali bila waya. .
- Active Noise Reduction: Inapunguza kelele ya mazingira ili kusikia vizuri na kufanya mazungumzo kwa clarity. .
- Bateri & Charging Case: Earbuds zina uwezo wa kudumu na chaji kwa saa2–3 , na case inaweza kuchajiwa tena mara 2–3.
- Auto Pairing: Rahisi kutumia unachukua earbuds kutoka kwenye case na zinawashwa na kuunganishwa moja kwa moja na simu yako.
- Ubora wa Sauti: Frequency response ya 20 Hz – 20,000 Hz inatoa sauti yenye bass, mid, na treble yenye uwiano mzuri.
GHARAMA
Bei ya Pro 3 TWS Wireless Earbuds ni TZS 10,000 tu. Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza Pro 3 TWS Wireless Earbuds yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Maswali unayoweza kujiuliza
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.