MYDUKA ONLINE
WhatsApp

SANDISK FLASH DRIVE 16Gb

Nunua Wireless Lavalier Microphone
SanDisk flash drive 16GB
Wireless Lavalier Microphone

SanDisk flash drive

SanDisk flash drive ni flash drive ndogo, ya kudumu, na yenye kasi nzuri kwa kuhifadhi mafaili kama picha, nyimbo, video, documents, na apps. Inaendana na kompyuta, TV, decoder, printer, laptop, na vifaa vingine vyenye USB port. Inatoa ulinzi mzuri wa data na hutumika kwa muda mrefu bila kuharibika kirahisi.

Faida 5 SanDisk flash drive

  • Kasi nzuri ya kusafirisha mafaili (fast transfer speed):Ni flash drive zenye kasi kubwa ya kusafirisha mafaili..
  • Inadumu kwa muda mrefu:ni flash drive imara kuliko flash za kawaida zinazodumu kwa muda mrefu.
  • Utendaji mkubwa wa kazi:zinafanya kazi kwenye Windows, Mac, Smart TV, na vifaa vingine vingi.
  • Uwezo mkubwa:zinabeba mafaili mengi kama documents, movies, na picha kwa uhuru bila kujaa haraka.
  • Ndogo na nyepesi: Sandisk flash drive ni rahisi kubeba mfukoni au kwenye kifungio cha funguo bila usumbufu wowote.

GHARAMA

Bei ya SanDisk flash drive ni TZS 15,000 tu. Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!

Namna ya kuagiza

Agiza SanDisk flash drive 16GB yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.

Maswali unayoweza kujiuliza

✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.

✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.

EADRYC {Mr.Online}