MYDUKA ONLINE
WhatsApp

E-Matangazo

E-ONLINE MATANGAZO | Huduma za Kidigitali
E-MATANGAZO
Ad 1 Ad 2 Ad 3 Ad 4

E-ONLINE MATANGAZO ni huduma bora ya kidigitali inayolenga kukuza biashara, huduma au brand yako mtandaoni. Tunakusaidia kutangaza bidhaa, huduma, au brand yako kwa ubunifu kupitia blogu yetu. Ukiwa nasi, biashara yako itaonekana zaidi, kukua haraka, na kupata wateja wapya bila usumbufu.

Huduma Tunazotoa

  • 📢 Kutengeneza matangazo ya biashara (Banners, Videos, na Post za kuvutia)
  • 💻 Kutangaza biashara kupitia blogu yetu ya E-Online Business
  • 📱 Digital Marketing
  • 📈 Kukuza mauzo kwa kutumia kampeni za kulipia (paid ads)

Bei na Gharama za Huduma

Tangazo la Muda mfupi

⏱ Siku 1 (saa 24)
Maelezo: Ni kwaajili ya tangazo la muda mfupi ambalo litaonekana ndani ya blog yetu kwa saa 24 katika sehemu ya E-Online matangazo .
💵 Tsh 1,000

Tangazo la muda wa Kati

⏱ Siku 7 (wiki moja)
Maelezo: Ni kwaajili ya tangazo la muda wa kati ambalo litaonekana ndani ya blog yetu kwa siku 7 katika sehemu ya E-Online matangazo .
💵 Tsh 5,000

Tangazo la muda mrefu

⏱ Siku 30 (mwezi mmoja)
Maelezo: Ni kwaajili ya tangazo la muda mrefu ambalo litaonekana ndani ya blog yetu kwa siku 30 katika sehemu ya E-Online matangazo .
💵 Tsh 20,000

Tayari kuanza kampeni yako ya matangazo? Tuma ujumbe sasa kupata mpango maalum wa biashara yako.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.