E-ONLINE COMPUTER MAINTENANCE SERVICE
Karibu E-Online computer maintenance services tupo hapa kuhakikisha kila sehemu ya kompyuta yako inafanya kazi kwa ufanisi. Haraka, salama, na kwa ustadi wa kitaalamu ili uwe na mtandao na mfumo wenye nguvu kila siku.
Huduma Tunazotoa
🧹 System Cleaning
Tunatoa huduma ya kusafisha kompyuta yako kutoka virusi, malware, na files zisizohitajika. Pia tunafanya optimization ya system, cache cleaning na defragmentation ili kompyuta yako iwe ya kasi zaidi kila siku.
💾 Hardware Upgrade
Tunaongeza RAM, SSD au components mpya kwa haraka na kwa ustadi wa kitaalamu. Huduma hii inahakikisha utendaji bora wa kompyuta yako bila kununua kompyuta mpya.
💻 Software Installation
Tunasanikisha mifumo ya uendeshaji, drivers na programu muhimu zote kwa usahihi ambazo zitakupa urahisi wa kutumia computer yako kwa ajili ya kufanyia kazi mbalimbali
🔧 Repair & Troubleshooting
Tunarekebisha matatizo yote ya system, hardware na network. Kutoka kompyuta isiyowaka hadi matatizo ya keyboard, mouse, au screen, tunarejesha kompyuta yako kwenye mfumo wa matumizi ya kila siku.
💽 Data Backup & Recovery
Tunahakikisha data zako muhimu hazipotei. Tunaweza kurejesha faili zilizofutwa au corrupted, na pia kuanzisha mfumo wa backup unaolinda data zako kila wakati kutokana na kupotea au kubukuliwa.
🌐 Internet & WiFi Setup
Tunahakikisha kompyuta na vifaa vyako vinapata mtandao haraka na salama. Huduma hii inajumuisha WiFi setup, troubleshooting ya intaneti, kuboresha speed ya mtandao, na kuhakikisha data zako ziko salama dhidi ya udukuzi.
Je kompyuta Yako Inahitaji Ukarabati?
Usiache tatizo liendelee kuharibu utendaji kazi wa computer yako! Tunatoa huduma za haraka, salama, na za bei nafuu ili kompyuta iweze kufanya kazi kwa ufanisi zaidi. wasiliana nasi sasa kwa huduma hii!
💬 Wasiliana Nasi Sasa