LP V82 WIRELESS SPEAKER
LP V82 ni spika ndogo za wireless (Bluetooth) zinazoweza kubebeka kirahisi. zina muundo wa kisasa na zinatoa sauti yenye nguvu na bass nzuri. Spika hizi zina uwezo wa kuunganishwa na simu, kompyuta, au vifaa vingine vya Bluetooth, na zina njia nyingine za kuunganisha kama TF card (microSD), USB, na FM radio. zina betri zinayoweza kudumu na chaji kwa muda mrefu kulingana na kiwango cha sauti, na pia zinaweza kuunganishwa na spika nyingine ya V82 kwa stereo (TWS).
Faida 5 za LP V82 Wireless speaker
- Portable na ndogo: Rahisi kubeba mahali popote-kwenye safari, mapiknik, au mahali popote pale.
- zinaunda sauti yenye nguvu: Ingawa ni ndogo, zina bass nzuri na sauti safi.
- Zina vigezo vingi vya kuunganisha: Unaweza kutumia Bluetooth, USB, TF card, au FM radio.
- TWS (True Wireless Stereo): Unaweza kuunganisha spika mbili kwa sauti ya stereo yenye nguvu zaidi.
- Splash-resistant (IPX4): Zina kinga dhidi ya maji, hivyo unaweza kuitumia karibu na maji bila wasiwasi(haziingizi maji)
GHARAMA
Bei ya LP V82 WIRELESS SPEAKER ni TZS 15,000 tu. Ubora wa sauti na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza LP V82 WIRELESS SPEAKER yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.
Maswali unayoweza kujiuliza
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.