E-SHAVING MACHINE
WAER WA 1950 Shaving Machine ni mashine ya kisasa ya kunyoa iliyotengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu. Inatoa ukataji sahihi, kasi ya juu na muundo thabiti kwa ajili ya matumizi ya nyumbani au saluni za kisasa. Betri yake hudumu kwa muda mrefu, na pia unaweza kuitumia ukiwa umeunganisha moja kwa moja kwenye umeme.
Faida 5 za WAER WA 1950 Shaving Machine
- Inakata nywele kwa usahihi na kwa haraka
- Betri yenye kudumu hadi saa 8 ikiwa bado na chaji
- Muundo wa ergonomic unaorahisisha kushika kwa urahisi
- Inafaa kwa matumizi ya nyumbani na saluni
- Inakuja na vifaa vya ziada (charger, brush, na oil)
GHARAMA
Bei ya WAER WA 1950 Shaving Machine ni TZS 15,000/ tu. Mashine ya kudumu na yenye ubora kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza WAER SHAVING MACHINE yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Maswali unayoweza kujiuliza
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo Mojakwamoja kupitia kwenye ukurasawetu wa malipo kwa kubofya E-MALIPO au kufanya malipo baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.