MYDUKA ONLINE
WhatsApp
E-ONLINE
Karibu sana kwenye E-Online Business! Hapa ndipo unapoweza kujifunza, kutangaza bidhaa zako, na kuagiza bidhaa bora kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni. Ungana nasi sasa kuanza safari yako ya mafanikio ya kidijitali!

Mambo 20 ya kukuongoza kwenye mafanikio

Nunua eBook ya EADRYC

📘 Mambo 20 ya kukuongoza kwenye mafanikio

eBook ya kipekee kutoka E-ONLINE Fahamu mambo 20 yatakayokuongoza kwenye mafanikio ya kudumu

eBook Cover ya EADRYC

Unachopata ndani ya eBook:

  • Mitazamo inayoathiri maamuzi
  • Jinsi ya kugeuza changamoto kuwa fursa
  • Mazoezi ya akili
  • Namna ya kukabiliana na wasiwasi na hofu
  • Jinsi ya kuongeza kujiamini na kutoa hofu
  • Jinsi ya kuanzisha mzunguko wa mafanikio maishani
  • Mbinu za kupambana na msongo wa mawazo
  • Mbinu za kujenga uhusiano imara na watu
  • Mambo mengine mengi ya umuhimu katika kuyaelekea mafanikio

💸 Bei ya Ofa: TZS 2,500 tu

Ikiwa umevutiwa na eBook hii, bonyeza kitufe hapa chini ili kuagiza kupitia WhatsApp na kufanya malipo kwa urahisi.

📱 Agiza Sasa

Maswali Yanayoulizwa Sana

✅ ebook ina kurasa ngapi? ebook ni fupi yenye kurasa 70 zenye maelezo pekee.

✅ eBook iko kwa lugha gani? Kiswahili sanifu kinachoeleweka kwa urahisi zaidi.

✅ Inatolewa vipi? Baada ya malipo, unatumiwa eBook kupitia WhatsApp au email.

✅ Namna ya kulipa? Lipa TZS2,500 kwa namba: 0694 244 680(Mwajuma Ally) (Airtel Money).

Una swali lolote au unahitaji msaada wa haraka? Wasiliana nasi mojakwamoja .

📨 Wasiliana Nasi

EADRYC [a graphic designer]