MYDUKA ONLINE
WhatsApp

SOLAR SENSOR LIGHT

Nunua Solar Sensor Light
E-SOLAR SENSOR LIGHT
Solar Sensor Light

E-SOLAR SENSOR LIGHT

Solar Sensor Light ni nyenzo bora za kuangaza njia zako na maeneo ya nje. Zinazosense mwendo wa mtu, zikiwa na mwangaza wa nguvu na huduma ya usalama. Zinaangazia moja kwa moja mtu anapopita, zikisaidia kuokoa nguvu za betri kwa kuwa zinatumia solar panel. Muundo wa kisasa na joto la mwanga laini hufanya iwe kamili kwa sehemu za viwanja, milango, au bustani zako.

Sababu 5 Kwanini Utapenda Solar Sensor Light

  • Kuokoa nguvu za betri kwa kuwasha pale tu zinapohitajika na kujichaji kwa kutumia solar panel
  • Muundo wa kisasa unaoendana na nguzo,milango na ukuta
  • Kwa matumizi ya nje kama bustani, viwanja, milango, au barabara ndogo
  • Mwangaza mkali na laini bila kuumiza macho
  • Rahisi kusakinisha bila wiring ngumu

GHARAMA

Bei ya Solar Sensor Light ni TZS 15,000/= tu kwa kifaa kimoja. Bei ya kipekee kwa vifaa vyenye ubora na vinavyodumu kwa muda mrefu.

Namna ya kuagiza

Agiza Solar Sensor Light yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa unahisi zaidi

Maswali unayoweza kujiuliza

✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo Mojakwamoja kupitia kwenye ukurasa wetu wa malipo kwa kubofya E-MALIPO au kufanya malipo baada ya kupokea bidhaa.

✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.

Logo

Karibu MyDuka Online

Logo

Karibu MyDuka Online

EADRYC {Mr.Online}