E-SMART WATCH
Smart Watch zetu ni chaguo bora kwa wale wanaotafuta mchanganyiko wa teknolojia, ubunifu, na ustadi wa hali ya juu. Inakuja na vifaa vya hali ya juu vinavyowezesha vipengele kama Tracking ya afya, mapigo ya moyo, usingizi, Tarifa za simu, na zaidi. Imeundwa kwa muundo wa kisasa, skrini yenye ubora wa juu, na betri inayodumu na muonekano kamili kila siku wenye kuvutia na kupendeza.
Sababu 9 Kwanini Utapenda Smart Watch Yetu
- Ufuatiliaji wa mapigo ya moyo na oksijeni ya damu
- Tracking ya usingizi na kupumua
- Skrini ya kugusa yenye AMOLED/TFT ubora wa juu
- Ina Bluetooth + taarifa za simu na ujumbe
- Design ya modern inayoendana na mitindo mbalimbali
- Uwezo wa kujibu simu/mawasiliano moja kwa moja
- Kipimo cha umbali & calories kwa mazoezi ya nje na ndani
- Maji hayingii sahihi kwa matumizi ya kila siku
- Betri inayodumu kwa matumizi ya kawaida
GHARAMA
Bei ya Smart Watch hii ni TZS 20,000/= tu kwa saa yenye mkanda mmoja. Bei ya kipekee kwa vifaa vyenye ubora, na huduma bora baada ya mauzo.
Namna ya kuagiza
Agiza Smart Watch yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kwa kila hatua.
Maswali Yanayoulizwa Sana
✅ Vifaa vilivyotumika: Chuma angavu, plastiki ya ubora, glasi yenye kinga ya mikwaruzo.
✅ Uendeshaji: Inatumika na Android na iOS kupitia APP maalumu.
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo Mojakwamoja kupitia kwenye ukurasawetu wa malipo E-MALIPO au kufanya malipo baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.
Karibu MyDuka Online