📘 Misingi 20 ya kupata na kusimamia fedha
eBook ya kipekee kutoka E-ONLINE Pata kufahamu misingi 20 itakayokuongoza kupata na kusimamia fedha zako

Unachopata ndani ya eBook:
- Tofauti kati ya elimu rasmi na elimu ya fedha
- Tofauti kati ya kipato cha kawaida na kipato kinachojitegemea
- Umuhimu wa kuanzisha chanzo cha pili cha mapato
- Jinsi ya kufanya pesa zifanye kazi badala ya kufanya kazi kwa ajili ya pesa
- Umuhimu wa kuweka bajeti
- Tofauti ya kuwa tajiri na kuishi kama tajiri
- Jinsi ya kuweka malengo ya fedha(financial goals)
- Na mambo mengine mengi kuhusu fedha
💸 Bei ya Ofa: TZS 2,500 tu
Ikiwa umevutiwa na eBook hii, bonyeza kitufe hapa chini ili kuagiza kupitia WhatsApp na kufanya malipo kwa urahisi.
📱 Agiza SasaMaswali Yanayoulizwa Sana
✅ ebook ina kurasa ngapi? ebook ni fupi yenye kurasa 88 zenye maelezo ya kina.
✅ eBook iko kwa lugha gani? Kiswahili sanifu kinachoeleweka kwa urahisi
✅ Inatolewa vipi? Baada ya malipo, unatumiwa eBook kupitia WhatsApp au email.
✅ Namna ya kulipa? Lipa TZS2,500 kwa namba: 0694 244 680(Mwajuma Ally) (Airtel Money).
Una swali lolote au unahitaji msaada wa haraka? Wasiliana nasi mojakwamoja .
📨 Wasiliana Nasi