📘 Mambo 20 unayopaswa kufahamu kabla ya kuingia chuo
eBook ya kipekee kutoka E-ONLINE Tambua mambo muhimu ambayo unapaswa kuyafahamu kabla ya kuingia chuo ambayo yatakusaidia kukuandaa kijamii,kisaikolijia na kielimu pia.

Unachopata ndani ya eBook:
- Mambo 20 muhimu katika safari ya kielimu chuoni
- Ushauri wa kina kwenye kila jambo
- Mbinu mbalimbali za kufanikisha malengo yako
- Maelezo ya kina kwenye kila jambo
💸 Bei ya Ofa: TZS 2,500 tu
Ikiwa umevutiwa na eBook hii, bonyeza kitufe hapa chini ili kuagiza kupitia WhatsApp na kufanya malipo kwa urahisi.
📱 Agiza SasaMaswali Yanayoulizwa Sana
✅ ebook ina kurasa ngapi? ebook ni fupi yenye kurasa 59 zenye maelezo tu.
✅ eBook iko kwa lugha gani? Kiswahili sanifu, inaelekeza kwa mtindo wa rafiki na wa kitaalamu.
✅ Inatolewa vipi? Baada ya malipo, unatumiwa eBook kupitia WhatsApp au email.
✅ Namna ya kulipa? Lipa TZS2,500 kwa namba: 0694 244 680(Mwajuma Ally) (Airtel Money).
Una swali lolote au unahitaji msaada wa haraka? Wasiliana nasi mojakwamoja .
📨 Wasiliana Nasi