Kupost bidhaa

 

Post Bidhaa

Nafasi kwa Wauzaji Kupost Bidhaa Zao

Wauzaji wa bidhaa sasa wana nafasi ya kufikia wateja wengi zaidi kupitia blog yetu!

Kwa Nini Upost Bidhaa Zako Kwetu?

  • Fursa ya Kuonekana Zaidi: Blog yetu hutembelewa na mamia ya wateja kila wiki.
  • Hakuna Gharama Kubwa: Tunakupa nafasi ya kupost kwa ada nafuu au hata bure kwa baadhi ya bidhaa.(Kwasasa kupost ni bure)
  • Huduma ya Msaada: Tunakusaidia kupanga picha, maelezo, na bei kwa ufanisi zaidi.
  • Unapata Wateja Waliolengwa: Tunalenga wateja wa bidhaa zako moja kwa moja.

Tunapokea Bidhaa Aina Gani?

Tunakaribisha wauzaji wa bidhaa kama: mavazi, vifaa vya nyumbani, electronics, vifaa vya shule, urembo,   bidhaa za mikono na bidhaa mbalimbali. Hakikisha bidhaa zako ni halali, zenye ubora na zisizokiuka maadili ya nci yetu.

Jinsi ya Kutuma Bidhaa Zako

  1. Wasiliana nasi kupitia WhatsApp au jaza fomu ya kutuma bidhaa.
  2. Fomu itakuwa na muongozo wa kupakia bidhaa zako.
  3. Baada ya kuhakikiwa, bidhaa zako zitaonekana kwenye blog yetu ndani ya masaa 24-48.