Huduma ya Kutengeneza Blog za Biashara
Je, wewe ni mfanyabiashara unayetaka kuwa na blog yako binafsi ya kuuza bidhaa mtandaoni? Tunakusaidia kutengeneza blog ya kisasa, ya kuvutia na yenye uwezo wa kupokea wateja moja kwa moja. Blog yako itakusaidia:
- Kutangaza bidhaa zako kwa uwanda mpana kupitia Google.
- Kupokea maombi ya wateja moja kwa moja kupitia fomu au WhatsApp.
- Kuwasilisha bidhaa zako kwa mpangilio bora na picha za kuvutia.
- Kuwa na utambulisho rasmi wa biashara yako mtandaoni.
- Kulipwa unaporuhusu kuonyesha matangazo kwenye blog yako
Faida: Blog yako itaweza kuonekana hata kwa wateja ambao hawatumii mitandao ya kijamii. Ni njia ya kitaalamu ya kukuza biashara yako.