Huduma ya Kutengeneza Blog za Biashara
Tunawasaidia wafanyabiashara kupata blog ya kisasa na ya kuvutia kwa ajili ya kutangaza na kuuza bidhaa zao mtandaoni. Blog yako binafsi inakupa:
- Muonekano wa kipekee wa biashara yako mtandaoni
- Uwezo wa kupokea wateja na mawasiliano moja kwa moja
- Uwezo wa kuchapisha bidhaa zako kwa mpangilio mzuri
- Kuongeza uaminifu kwa wateja wapya
Chagua Kifurushi Kinachokufaa ikiwa unahitaji huduma hii.
Basic
Tsh 30,000 Tsh 20,000
- Muundo mmoja wa ukurasa (1 Page)
- Maelezo ya biashara na bidhaa
- Maelezo ya mawasiliano
- WhatsApp Button
Pro
Tsh 60,000. Tsh 40,000
- Kurasa 3 (Home, Bidhaa, Wasiliana Nasi)
- Dark Mode & Blog nzuri ya eCommerce
- Fomu ya agizo
- Ikoni na menu nzuri ya kitaalamu
Premium
Tsh 150,000. Tsh 100,000
- Kurasa zote muhimu + Blog ya kisasa sana
- SEO + Google Analytics
- Page ya Ofa, Testimonials, na Orodha ya bidhaa.