ASTON VILLA CF
Vaa jezi ya kisasa ya "The Villans".
Hii ni jezi ya Aston Villa (Away Kit) yenye muundo wa kipekee na wa kishua. Rangi yake nyeupe ikiambatana na nakshi za maroon inakupa muonekano wa kistaraabu na wa kijanja sana.
Imetengenezwa kwa kitambaa cha hali ya juu kinachopitisha hewa vizuri, kikiwa na nembo mpya ya Aston Villa iliyochapwa kwa ufundi mkubwa. Ni jezi inayofaa kwa michezo, matembezi au hata kuvaa na jinsi.
- ✅ Jezi ya Aston Villa (Premium Edition)
- ✅ Kitambaa chepesi kisichopoteza rangi (High Durability)
- ✅ Muundo wa kisasa unaokaa vizuri (Tailored Fit)
- ✅ Inapumua na kukausha jasho haraka (Aero-Ready)











