AJAX AMSTERDAM
Vaa ufundi na utamaduni wa soka la Uholanzi.
Hii ni jezi toleo la pekee la Ajax Amsterdam, ikiwa na rangi maridadi ya cream na nakshi za navy blue. Ni jezi inayozungumza kuhusu "Total Football" na ufundi wa hali ya juu uliotukuka barani Ulaya.
Imetengenezwa kwa kitambaa cha kiwango cha juu (AEROREADY) kinachokuweka huru na mkavu muda wote, iwe upo uwanjani au mtaani. Muundo wake wa collar unakupa muonekano wa kishua na wa kipekee sana.
- ✅ Jezi ya Ajax Amsterdam (Premium Version)
- ✅ Kitambaa chepesi chenye vinyweleo vya hewa
- ✅ Nembo na wadhamini (Ziggo) wamechapwa kwa ubora wa 5G
- ✅ Inakaa mwilini kwa umaridadi (Smart Fit)












