KHAIR PERFUME 10ml
KHAIR PERFUME 10ml
Khaiyr 10 ml Perfume ni mchanganyiko wa harufu safi, nyepesi na yenye kuvutia, ambayo inakufanya uhisi kujiamini kila wakati. Ni bora kwa matumizi ya kila siku na pia kama zawadi ya kipekee.
Namna ya kuagiza
Agiza PERFUME yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.











