MYDUKA ONLINE
WhatsApp

SMART WATCH T900 Ultra

Nunua Wireless Lavalier Microphone
SMART WATCH T900 Ultra
Wireless Lavalier Microphone

Smartwatch T900 Ultra

Smartwatch T900 Ultra ni saa ya kisasa yenye muonekano wa premium, ikikupa uwezo wa kufuatilia afya, kufanya mawasiliano, na kusimamia shughuli zako kwa urahisi. Ina screen kubwa, muundo imara, na inafanya kazi vizuri na simu za Android na iPhone. Ni chaguo bora kwa mtu anayetaka smartwatch nzuri kwa bei nafuu.

Features 5 za T900 Ultra

  • Health Monitoring (HR, BP, SpO2) Inakupa vipimo vya afya kama mapigo ya moyo, pressure, na oxygen level kwa wakati halisi. .
  • Call & Message Notifications Unaona simu zinazoingia, meseji, na notifications zote moja kwa moja kwenye saa. .
  • Sports Modes & Fitness Tracking Ina modes nyingi za mazoezi-inafuatilia steps, calories, na distance
  • Custom Watchfaces 100+ Unaweza kubadilisha watchface zaidi ya 100 kupitia app, kulingana na mood yako.
  • Long Battery Life Betri inadumu siku 1-3 kutegemea matumizi, hivyo unaweza kuitumia siku nzima bila wasiwasi wa chaji.

GHARAMA

Bei ya Smartwatch T900 Ultra ni TZS 20,000 tu. Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!

Namna ya kuagiza

Agiza Smartwatch T900 Ultra yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.

Maswali unayoweza kujiuliza

✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.

✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.

EADRYC {Mr.Online}