MYDUKA ONLINE
WhatsApp

JLB EARBUDS

Nunua Wireless Lavalier Microphone
JLB EARBUDS
Wireless Lavalier Microphone

JLB EARBUDS

JLB Earbuds ni earbuds za kisasa zisizo na waya (wireless) zenye sound quality nzuri, ergonomic design, na betri inayodumu muda mrefu. Zinakaa vizuri sikioni, zinakupa uhuru wa kusikiliza muziki, kupiga simu, au kucheza video bila kusumbuka na waya. Ni chaguo bora kwa watu wanaotaka earbuds za bei nafuu lakini zenye ubora.

Features 5 za JBL earbuds

  • Wireless Bluetooth Connectivity:Unafanya pairing kwa urahisi na simu, laptop au tablet bila waya.
  • High-Quality Sound :Bass, mid na high tones zenye uwiano mzuri kwa muziki na call. .
  • Long Battery Life: Betri inadumu na chaji hadi masaa 8 hours na case inatoa chaji zaidi.
  • Ergonomic & Comfortable Design:Ndogo, inakaa vizuri sikioni, inafaa kwa matumizi ya muda mrefu.
  • Touch Controls & Microphone :Unaweza kudhibiti muziki, kupiga simu, na auto pairing kwa urahisi.

GHARAMA

Bei ya JLB EARBUDS ni TZS 15,000 tu. Ubora wa material na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!

Namna ya kuagiza

Agiza JLB EARBUDS yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja.

Maswali unayoweza kujiuliza

✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo moja kwa moja kupitia E-MALIPO au baada ya kupokea bidhaa.

✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.

Mawasiliano

Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi moja kwa moja. Tupo tayari kukusikiliza mteja wetu.

EADRYC {Mr.Online}