E-WIRELESS LAVALIER MICROPHONE
Wireless Lavalier Microphone ni microphone ya kisasa isiyo na waya inayofaa kwa vlogs, interviews, na recordings zenye ubora. Inatoa sauti safi na isiyo na kelele huku ukiruhusu uhuru wa kurekodi sauti bila vizuizi. Inakuja na transmitter na receiver kwa urahisi wa kutumia.
Faida 5 za Wireless Lavalier Microphone
- Sauti safi na yenye uwazi bila kelele nyingi
- Inatumika kwa video, podcast, na content creation mtandaoni
- Rahisi kubeba na kutumia popote
- Transmitter na receiver vinavyofanya kazi kwa usahihi
- Muundo wa ergonomic unaorahisisha kushika na kuitumia
GHARAMA
Bei ya Wireless Lavalier Microphone ni TZS 35,000 tu. Ubora wa sauti na uhuru wa kutumia kwa bei nafuu!
Namna ya kuagiza
Agiza WIRELESS LAVALIER MICROPHONE yako sasa kupitia WhatsApp. Bonyeza kitufe hapa chini kuwasiliana nasi moja kwa moja na tutakusaidia kupata bidhaa hii kwa urahisi zaidi
Maswali unayoweza kujiuliza
✅ Namna ya kulipia: Unaweza kufanya malipo Mojakwamoja kupitia kwenye ukurasawetu wa malipo kwa kubofya E-MALIPO au kufanya malipo baada ya kupokea bidhaa.
✅ Namna ya kuipata: Tunafanya delivery baada ya kutoa oda kulingana na mahali ulipo.
Mawasiliano
Una maswali zaidi? Tembelea ukurasa wa mawasiliano ili kuwasiliana nasi Mojakwamoja kulingana na njia ya mawasiliano utakayoichagua.Tupo tayari kukusikiliza mteja.