Ulinzi wa maudhui

Huduma ya Kulinda Maudhui ya Tovuti/Blog

Unataka kulinda maudhui ya tovuti yako dhidi ya wizi na ku-copy bila ruhusa? Tunakuletea huduma ya kitaalamu ya kuweka ulinzi kwenye blog au tovuti yako. Huduma hii itasaidia:

  • Kuzuia kubofya kulia (Right-click)
  • Kuzuia ku-copy maandishi
  • Kuzuia developer tools (F12, Ctrl+U, Ctrl+Shift+I)
  • Blur screen endapo mtumiaji ataondoka kwenye tab
  • Kuzuia kuchagua maandishi
  • Control kwa watumiaji wa simu (mobile touch blocking)

Viwango vya Huduma:

Kifurushi Maelezo Bei
Basic Zuia right-click, select na copy Tsh 5,000
Advanced Basic + Zuia Dev Tools + Blur Screen Tsh 10,000
Full Protection Advanced + Console Detection + Mobile Touch Lock Tsh 15,000

Omba Huduma kwa Kujaza Fomu Hii:

Ukihitaji msaada wa haraka, wasiliana moja kwa moja kupitia WhatsApp: +255 694 244 680