Huduma ya Kutengeneza Pages na Post za Kibiashara
Tunakutengenezea kurasa (pages) muhimu kama "Kuhusu Sisi", "Huduma Zetu", "Wasiliana Nasi", pamoja na post zenye mvuto kwa ajili ya kutangaza bidhaa zako ndani ya blog yako.
Faida za Huduma Hii:
- Blog yako inaonekana ya kitaalamu zaidi
- Inavutia wateja na inaongeza mauzo
- Kurahisisha mawasiliano kati yako na wateja
- Kuonyesha bidhaa zako kwa muonekano bora
Gharama:
Tsh 5,000 - Tsh 10,000 kutegemeana na idadi ya kurasa/post unazohitaji.