Huduma ya Kununua na Kuunganisha Domain na Blog
Unataka blog yako iwe na jina la kipekee kama mydukaonline.com badala ya .blogspot.com? Tunakusaidia:
- Kununua domain name yako (com, co.tz, net n.k.)
- Kuunganisha domain hiyo na blog yako ya Blogger
- Kuweka SSL (https) ili iwe salama
- Kushauri jina bora kwa brand yako
Faida ya Kuwa na Domain Yako:
- Kuaminika zaidi kwa wateja
- Inaongeza thamani ya biashara yako
- Rahisi kukumbukwa na kutafutwa Google
Gharama:
Tsh 30,000 - Tsh 50,000 (kutegemeana na aina ya domain unayochagua kununua mfano.com au .ac.tz + Tsh 5000 ya kukunganishia)