Chagua Package
Chagua Kifurushi Kinachokufaa
SWALA ( M )
- M-medium (33-35inch)/(84-89cm)
- Inafaa kwa watu wenye mwili wa wastani.
- Ikiwa unavaa suruali namba 33 hadi 35 au una kiuno cha cm 84–89.
- Hii ni saizi ya kawaida kwa vijana na watu wasio na tumbo.
SIMBA ( L )
- L-Large (36-38inch)/(91-97cm)
- Inafaa kwa watu wenye mwili mkubwa kidogo.
- Ikiwa unavaa suruali namba 36 hadi 38 au una kiuno cha cm 84–89.
- Inatoa nafasi ya kutosha bila kubana.
NYATI XL
- XL- Extra large (39-41inch)/(99-104cm)
- Inafaa kwa watu wenye mwili mkubwa .
- Ikiwa unavaa suruali namba 39 hadi 41 au una kiuno cha cm 99–104.
- Inapendekezwa kwa wanaume wanaopendelea boxer yenye nafasi.
TEMBO XXL
- XXL-Double extra large (42-44inch)/(106-111cm)
- Inafaa Kwa watu wenye kiuno kikubwa sana au tumbo.
- Ikiwa unavaa suruali namba 42 hadi 44 au una kiuno cha cm 106–111.
- Inatoa starehe kwa wale wanaopendelea nafasi kubwa.
EADRYC BOXERS
© 2025 EADRYC BOXERS
Mavazi ya Ndani Bora, kwa Bei Nafuu!!! follow us!!!