JEZI YA RS BERKANE
Vaa rangi za machungwa, dhihirisha ubora wa Morocco.
Jezi ya RS Berkane inawakilisha nguvu na upambanaji. Imetengenezwa kwa kitambaa imara na chenye muonekano wa kipekee kwa wapenzi wa soka la Afrika.
- ✅ Jezi ya machungwa (The Oranges)
- ✅ Nembo ya klabu iliyofushwa kwa ubora
- ✅ Kitambaa kinachopitisha hewa vizuri
- ✅ Inavaliwa mtaani na uwanjani












