INTER MIAMI CF
Vaa rangi ya kishua ya "The Herons".
Jezi ya Inter Miami ni zaidi ya soka, ni mtindo wa maisha. Ikiwa na rangi ya pink ya kipekee, jezi hii inakupa muonekano safi na wa kisasa kama ule wa mastaa wa Florida.
Imetengenezwa kwa kitambaa chepesi ambacho hakishiki joto, kinachokufanya uwe na amani iwe upo uwanjani au kwenye mitoko yako ya kila siku. Huu ni wakati wa kumiliki jezi ya timu inayotikisa ulimwengu kwa sasa.
- 💗 Jezi ya Inter Miami (Home Pink) yenye nembo maridadi
- 💗 Kitambaa cha kisasa (Sweat-wicking fabric)
- 💗 Rangi inayong'aa na isiyofifia ikifuliwa
- 💗 Inafaa kwa michezo na "Lifestyle" ya kishua
AGIZA SASA
Bofya kitufe hapa chini kuwasiliana nasi WhatsApp na uagize jezi ya Miami leo.












