MYDUKA ONLINE
WhatsApp

jezi ya Flamengo

Jezi ya Flamengo Retro - Promo Page

JEZI YA FLAMENGO (RETRO)

Vaa historia, vaa utamaduni wa soka la Brazil.

Hii si jezi ya kawaida, ni toleo maalum la Flamengo lenye rangi ya cream na muonekano wa kijanja (retro look). Ikiwa na nembo ya Adidas ya kizamani na mistari ya rangi nyekundu na nyeusi, jezi hii ni chaguo namba moja kwa watu wanaopenda vitu vya kitofauti na vyenye thamani.

  • ✅ Toleo la kipekee (Special Retro Edition)
  • ✅ Rangi ya Cream yenye mvuto wa hali ya juu
  • ✅ Kitambaa kizito na imara kinachodumu muda mrefu
  • ✅ Nembo ya Adidas Trefoil kwa muonekano wa kishua

GHARAMA

Miliki uzi huu wa nadra kwa bei ile ile ya kishkaji.

AGIZA SASA

Bofya kitufe hapa chini kuwasiliana nasi WhatsApp na uagize jezi yako ya Flamengo leo.

E-ONLINE BUSINESS