JEZI YA BRAZIL
Jezi ya mashabiki wa kweli wa timu ya taifa ya Brazil.
Jezi hii ya Brazil imeundwa kwa kitambaa chepesi na kinachopitisha hewa, kikikupa faraja wakati wa kuangalia mechi, kucheza soka au matumizi ya kawaida. Ni chaguo bora kwa wapenzi wa soka na mashabiki wa Seleção.
Rangi za njano, kijani na bluu zinaakisi utambulisho halisi wa timu ya Brazil, hivyo ukiivaa unaonesha wazi mapenzi yako kwa moja ya timu bora duniani.
- ✅ Jezi ya Brazil yenye muonekano wa kisasa
- ✅ Kitambaa chepesi kisichochosha mwili
- ✅ Haififii rangi hata ikioshwa mara nyingi
- ✅ Inafaa michezo, mazoezi na matumizi ya kila siku
BEI YA JEZI
Pata jezi ya Brazil kwa bei nafuu.
TSH 12,000/= TU












