MYDUKA ONLINE
WhatsApp
E-ONLINE
Karibu sana kwenye E-Online Business! Hapa ndipo unapoweza kujifunza, kutangaza bidhaa zako, na kuagiza bidhaa bora kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni. Ungana nasi sasa kuanza safari yako ya mafanikio ya kidijitali!

SWALA ( M )

 

Maelezo ya bidhaa Kwa ujumla.

Pata uhuru, starehe, na ubora wa hali ya juu kwa kuvaa boxer bora kabisa kutoka 99Vvacybit. Imetengenezwa kwa pamba safi inayoruhusu ngozi kupumua, hivyo itakupa utulivu na usafi siku nzima.

Vipengele Muhimu

  • ✔️ Brand: 99VVACYBIT 
  • ✔️ Idadi: Boxer 3
  • ✔️ Ukubwa: M
  • ✔️ Kifurushi: SWALA
  • ✔️ Nyenzo: 100% Pamba

Faida za Bidhaa

  • ✔️ Kitambaa laini kisicholeta muwasho
  • ✔️ Elastic imara isiyolegea haraka
  • ✔️ Rangi na mitindo ya kisasa
  • ✔️ Ubora unaodumu hata baada ya kuoshwa

Kwa Nini Uinunue?

  • Mtindo wa mwanaume wa kisasa
  • Starehe isiyo na mipaka
  • Thamani ya pesa yako

EADRYC BOXERS

© 2025 EADRYC BOXERS

Mavazi ya Ndani Bora, kwa Bei Nafuu!!! follow us!!!

EADRYC [a graphic designer]