MYDUKA ONLINE
WhatsApp

M-PESA

💳 Vodacom M-Pesa

Jinsi ya Kulipia

Fuata hatua hizi kufanya malipo kwa kutumia M-Pesa:

Namba ya Malipo: 0769 824 856
Jina la Mpokeaji:IDRISSA OTHUMANI ABASI
  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 1.Tuma pesa
  3. Chagua 1. Weka namba ya simu kisha ingiza: 0769824856
  4. Weka kiasi:Ingiza kiasi cha fedha unachotaka kutuma.
  5. Weka namba yako ya siri kuthibitisha
  6. Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE 
← Rudi Kwenye ukurasa wa malipo