MYDUKA ONLINE
WhatsApp

TIGO PESA

Jinsi ya Kulipa kwa Tigo Pesa
📱 Tigo Pesa

Jinsi ya Kulipia

Fuata hatua hizi kufanya malipo kwa kutumia Tigo Pesa:

Namba ya Malipo: 0657 454 856
Jina la Mpokeaji: IDRISSA OTHUMANI ABASI
  1. Piga *150*01#
  2. Chagua 1.Tuma pesa
  3. Chagua 1.Weka namba ya simu
  4. Ingiza namba ya simu mpokeaji: Ingiza 0657454856
  5. Ingiza kiasi: mfano (2500)
  6. Weka namba yako ya siri kuthibitisha malipo
  7. Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.
← Rudi Kwenye ukurasa wa Malipo