MYDUKA ONLINE
WhatsApp

Othello game

Karibu E-Online Business!

karibu kwenye mchezo wa Reversi (Othello) changamoto ya akili na mbinu! Fikiria hatua zako kwa makini, geuza kete za mpinzani, na thibiti ubao mzima. Cheza kwa ustadi, shinda kwa werevu!kuwa mwerevu zaidi!!!