📱 Lipa Namba Airtel
Jinsi ya Kulipia
Fuata hatua hizi kufanya malipo kwa kutumia Lipa Namba Airtel:
Namba ya Lipa Namba: 131322255
Jina la Mpokeaji: IDRISSA ABASI
Jina la Mpokeaji: IDRISSA ABASI
- Piga *150*60#
- Chagua 5. Lipia bili
- Chagua 1. Lipa kwa simu
- Chagua 2.Airtel
- Ingiza kiasi
- Ingiza Lipa Namba:Utaingiza 131322255
- Ingiza namba ya siri kuthibitisha
- Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.