Huduma ya Kukutangazia Bidhaa zako .
Unayo bidhaa nzuri lakini haujui jinsi ya kuwafikia wateja wengi kupitia mitandao ya kijamii? Usijali! Kupitia mydukaonline.com, tunakupa nafasi ya kipekee ya kutangaza bidhaa zako kwenye mitandao kama Instagram, twitter , Pinterest,LinkedIn, Facebook, na WhatsApp pamoja na kwenye blog yetu.
Tunachokufanyia
- Kuzipost kwenye blog yetu na mitandao yetu ya kijamii.
- Kutengeneza page itakayo kuwa inaelezea bidhaa Yako ndani ya blog yetu .
- Kuweka Call-to-Action (CTA) ili wateja waweze kuwasiliana na wewe moja kwa moja
- Tunakupatia kiungo (link) ambayo utaitumia kuipost kwenye mitandao ya kijamii ili mteja aweze kuifikia bidhaa yako mojakwamoja na kusoma maelezo pamoja na kufanya mawasiliano na wewe ndani ya blog yetu.
- NB:Zingatia kutuma bidhaa halali ambazo hazikiuki Sheria Wala maadili ya nchi yetu
"Tangaza bidhaa zako kwa ufanisi na uwafikie wateja wengi zaidi.karibu utangaze nasi Kwa bei cheeee!!!"