MYDUKA ONLINE
WhatsApp

CRDB BANK

Jinsi ya Kulipa kwa CRDB Bank
🏦 CRDB Bank

Jinsi ya Kulipia

Fuata hatua hizi kufanya malipo kupitia CRDB bank kulingana na aina ya mtandao unaotaka kuutumia kufanya malipo AIRTEL,VODACOM au TIGO/YAS:

Namba ya Akaunti: 0152978405600
Jina la Mpokeaji: IDRISSA OTHUMANI ABASI
Mtandao:AIRTEL
  1. Piga *150*60#
  2. Chagua 6.Huduma za kifedha
  3. Chagua 5.Tuma kwenda benki
  4. Chagua 2.CRDB
  5. Enter NMB account number: utaingiza 0152978405600
  6. Enter Amount:Utaingiza kiasi cha pesa unachotaka kutuma
  7. Enter PinUtaingiza namba yako ya siri kuthibitisha malipo
  8. Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.
Namba ya Akaunti: 2141003423
Jina la Mpokeaji: IDRISSA OTHUMANI ABASI
Mtandao:VODACOM
  1. Piga *150*00#
  2. Chagua 6.Huduma za kifedha
  3. Chagua 2.Mpesa kwenda benki
  4. Chagua 1.CRDB
  5. Weka namba ya account: utaingiza 0152978405600
  6. Ingiza namba ya malipo: utaingiza 0152978405600
  7. Weka kiasi:Utaingiza kiasi cha pesa unachotaka kutuma
  8. Weka namba ya siriUtaingiza namba yako ya siri kuthibitisha malipo
  9. Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.
Namba ya Akaunti: 2141003423
Jina la Mpokeaji: IDRISSA OTHUMANI ABASI
Mtandao:TIGO/YAS
  1. Piga *150*01#
  2. Chagua 7.Huduma za kifedha
  3. Chagua 1.Mixx kwenda benki
  4. Chagua 1.CRDB
  5. Ingiza namba ya account ya benki: utaingiza 0152978405600
  6. Weka namba ya kumbukumbu ya malipo: utaingiza 0152978405600
  7. Ingiza kiasi unachotuma:Utaingiza kiasi cha pesa unachotaka kutuma
  8. Ingiza namba ya siriUtaingiza namba yako ya siri kuthibitisha malipo
  9. Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.
← Rudi Kwenye ukurasa wa malipo