📱 Airtel Money
Jinsi ya Kulipia
Fuata hatua hizi kufanya malipo kwa kutumia Airtel Money:
Namba ya Malipo: 0698 284 856
Jina la Mpokeaji: IDRISSA ABASI
Jina la Mpokeaji: IDRISSA ABASI
- Piga *150*60#
- Chagua 1.Tuma pesa
- Chagua 1.Weka namba ya simu
- Chagua 1.Weka namba ya simu
- Ingiza namba ya simu ya mpokeaji: utaingiza 0698284856
- Ingiza kiasi cha pesa unachotaka kutuma
- Kisha ingiza namba yako ya siri kuthibitisha malipo
- Baada ya hapo utakuwa umekamilisha malipo na baada muda utapata utaratibu wa kupata bidhaa/huduma husika kutoka E-ONLINE.Karibu tena E-ONLINE.