Elimu & Hamasa kwa Wafanyabiashara Watarajiwa
Tunatambua kuwa safari ya kuwa mfanyabiashara si rahisi inahitaji maarifa, moyo wa uthubutu na mtu wa kukutia moyo unapokaribia kukata tamaa. Ndiyo maana mydukaonline.com imeanzisha huduma maalum ya kutoa elimu ya biashara, motisha na mwongozo wa hatua kwa hatua kwa wale wote wanaotamani kuwa wajasiriamali.
Unachopata kwenye Huduma Hii.
- Nukuu kuhusu misingi ya biashara na jinsi ya kuanza bila mtaji mkubwa.
- Motisha ya kila wiki kupitia blogu na mitandao ya kijamii.
- Clip mbalimbali zinazohusiana na biashara
"Usikate tamaa , kila mfanyabiashara mkubwa alianza na ndoto ndogo. Hii ni nafasi yako ya kuanza leo."